Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Az-Zukhruf 43:79

43:79
ام ابرموا امرا فانا مبرمون ٧٩
أَمْ أَبْرَمُوٓا۟ أَمْرًۭا فَإِنَّا مُبْرِمُونَ ٧٩
أَمۡ
أَبۡرَمُوٓاْ
أَمۡرٗا
فَإِنَّا
مُبۡرِمُونَ
٧٩
Au waliweza kupitisha amri yao? Bali ni Sisi ndio tunao pitisha. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Je, kwani hawa washirikina wamepanga mambo madhubuti ya kuichimba haki tuliyowaletea? Sisi tunawapangia adhabu na mateso.