Mteremsho wa Kitabu hiki umetokana na Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Kuteremshwa Qur’ani, Hakika ni kwamba, ni kutoka kwa Mwenyezi Mungu Aliye Mshindi katika uweza Wake na utesaji Wake, Mwingi wa hekima katika uendeshaji mambo Wake na hukumu Zake.