Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki kwa Haki. Basi muabudu Mwenyezi Mungu ukimsafia Dini Yeye tu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Kwa hakika sisi tumekuteremshia, ewe Mtume, Qur’ani inayoamuru haki na uadilifu. Basi muabudu Mwenyezi Mungu, Peke Yake, na umtakasie mambo yote ya Dini yako.