Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Az-Zumar 39:58

39:58
او تقول حين ترى العذاب لو ان لي كرة فاكون من المحسنين ٥٨
أَوْ تَقُولَ حِينَ تَرَى ٱلْعَذَابَ لَوْ أَنَّ لِى كَرَّةًۭ فَأَكُونَ مِنَ ٱلْمُحْسِنِينَ ٥٨
أَوۡ
تَقُولَ
حِينَ
تَرَى
ٱلۡعَذَابَ
لَوۡ
أَنَّ
لِي
كَرَّةٗ
فَأَكُونَ
مِنَ
ٱلۡمُحۡسِنِينَ
٥٨
Au ikasema inapo ona adhabu: Lau kuwa ningeli pata fursa nyengine, ningeli kuwa miongoni mwa wafanya mema. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
«Au ikasema, itakapo kuiona adhabu ya Mwenyezi Mungu imeizunguka Siku ya Kiyama, ‘Natamani nipatiwe nafasi ya kurudi kwenye maisha ya kilimwengu nikawa huko ni miongoni mwa wenye kufanya wema kwa kumtii Mola wao na kufanya matendo yaliyoamrishwa na Mitume.’»