Az-Zumar 39:64 قل افغير الله تامروني اعبد ايها الجاهلون ٦٤
قُلۡ
أَفَغَيۡرَ
ٱللَّهِ
تَأۡمُرُوٓنِّيٓ
أَعۡبُدُ
أَيُّهَا
ٱلۡجَٰهِلُونَ
٦٤
Sema: Je! Mnaniamrisha nimuabudu asiye kuwa Mwenyezi Mungu, enyi majaahili? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Sema, ewe Mtume, uwaambie washirikina wa watu wako, «Je, yule asiyekuwa Mwenyezi Mungu, enyi wajinga, mnanishauri nimuabudu na hali ibada haifai kufanyiwa kitu chochote isipokuwa Yeye?»
Sema, ewe Mtume, uwaambie washirikina wa watu wako, «Je, yule asiyekuwa Mwenyezi Mungu, enyi wajinga, mnanishauri nimuabudu na hali ibada haifai kufan…