Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Az-Zumar 39:70

39:70
ووفيت كل نفس ما عملت وهو اعلم بما يفعلون ٧٠
وَوُفِّيَتْ كُلُّ نَفْسٍۢ مَّا عَمِلَتْ وَهُوَ أَعْلَمُ بِمَا يَفْعَلُونَ ٧٠
وَوُفِّيَتۡ
كُلُّ
نَفۡسٖ
مَّا
عَمِلَتۡ
وَهُوَ
أَعۡلَمُ
بِمَا
يَفۡعَلُونَ
٧٠
Na kila nafsi italipwa kwa yale iliyo yafanya, na Yeye anayajua sana wanayo yatenda. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na hapo Mwenyezi Mungu Aipe kila nafsi malipo ya matendo yake, mazuri na mabaya. Na Yeye, kutakasika na sifa za upungufu ni Kwake na kutuka ni Kwake, Ndiye Anayejua zaidi yale waliyoyafanya duniani ya utiifu au ya uasi.