Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Fatir 35:14

35:14
ان تدعوهم لا يسمعوا دعاءكم ولو سمعوا ما استجابوا لكم ويوم القيامة يكفرون بشرككم ولا ينبيك مثل خبير ١٤
إِن تَدْعُوهُمْ لَا يَسْمَعُوا۟ دُعَآءَكُمْ وَلَوْ سَمِعُوا۟ مَا ٱسْتَجَابُوا۟ لَكُمْ ۖ وَيَوْمَ ٱلْقِيَـٰمَةِ يَكْفُرُونَ بِشِرْكِكُمْ ۚ وَلَا يُنَبِّئُكَ مِثْلُ خَبِيرٍۢ ١٤
إِن
تَدۡعُوهُمۡ
لَا
يَسۡمَعُواْ
دُعَآءَكُمۡ
وَلَوۡ
سَمِعُواْ
مَا
ٱسۡتَجَابُواْ
لَكُمۡۖ
وَيَوۡمَ
ٱلۡقِيَٰمَةِ
يَكۡفُرُونَ
بِشِرۡكِكُمۡۚ
وَلَا
يُنَبِّئُكَ
مِثۡلُ
خَبِيرٖ
١٤
Mkiwaomba hawasikii maombi yenu; na hata wakisikia hawakujibuni. Na Siku ya Kiyama watakataa ushirikina wenu. Na hapana atakaye kupa khabari vilivyo kama Yeye Mwenye khabari. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Mnapowaomba, enyi watu, waabudiwa hawa badala ya Mwenyezi Mungu, hawasikii maombi yenu, na lau wangalisikia, kwa kukisia, hawangaliwaitikia nyinyi. Na Siku ya Kiyama, watajiepusha na nyinyi. Na hakuna yoyote wa kukupasha habari, ewe Mtume, mkweli zaidi kuliko Mwenyezi Mungu, Aliye Mjuzi, Aliye Mtambuzi.