Ha-Mym-Sajdah 41:10 وجعل فيها رواسي من فوقها وبارك فيها وقدر فيها اقواتها في اربعة ايام سواء للسايلين ١٠
وَجَعَلَ
فِيهَا
رَوَٰسِيَ
مِن
فَوۡقِهَا
وَبَٰرَكَ
فِيهَا
وَقَدَّرَ
فِيهَآ
أَقۡوَٰتَهَا
فِيٓ
أَرۡبَعَةِ
أَيَّامٖ
سَوَآءٗ
لِّلسَّآئِلِينَ
١٠
Na akaweka humo milima juu yake, na akabarikia humo na akakadiria humo chakula chake katika siku nne. Haya ni sawa kabisa kwa wanao uliza. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Na Akajaalia Mwenye kutakasika katika ardhi majabali yaliyojikita juu yake, Akaibarikia kwa kuifanya iwe na kheri nyingi kwa watu wake, Akakadiria humo riziki za chakula kwa watu wake na yale yanayowafaa maishani kwa kipindi cha Siku nne: Siku mbili Aliumba ndani yake ardhi na Siku mbili Aliweka ka…
«Na Akajaalia Mwenye kutakasika katika ardhi majabali yaliyojikita juu yake, Akaibarikia kwa kuifanya iwe na kheri nyingi kwa watu wake, Akakadiria hu…