Ha-Mym-Sajdah 41:18 ونجينا الذين امنوا وكانوا يتقون ١٨
وَنَجَّيۡنَا
ٱلَّذِينَ
ءَامَنُواْ
وَكَانُواْ
يَتَّقُونَ
١٨
Na tukawaokoa walio amini na wakawa wanamcha-mngu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tukawaokoa wale walioamini kutokana na adhabu iliyowapata kina 'Ād na Thamūd. Na hawa waliookoka walikuwa wanamuogopa Mwenyezi Mungu na kumcha.