Ha-Mym-Sajdah 41:19 ويوم يحشر اعداء الله الى النار فهم يوزعون ١٩
وَيَوۡمَ
يُحۡشَرُ
أَعۡدَآءُ
ٱللَّهِ
إِلَى
ٱلنَّارِ
فَهُمۡ
يُوزَعُونَ
١٩
Na siku watakapo kusanywa maadui wa Mwenyezi Mungu kwenye Moto, nao wakikgawanywa kwa makundi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Siku ambayo maadui wa Mwenyezi Mungu watakusanywa wapelekwe kwenye Moto wa Jahanamu, Malaika wa adhabu watawarudisha wa mwanzo wao wawakusanye na wa mwisho wao.
Na Siku ambayo maadui wa Mwenyezi Mungu watakusanywa wapelekwe kwenye Moto wa Jahanamu, Malaika wa adhabu watawarudisha wa mwanzo wao wawakusanye na …