Ha-Mym-Sajdah 41:3 كتاب فصلت اياته قرانا عربيا لقوم يعلمون ٣
كِتَٰبٞ
فُصِّلَتۡ
ءَايَٰتُهُۥ
قُرۡءَانًا
عَرَبِيّٗا
لِّقَوۡمٖ
يَعۡلَمُونَ
٣
Hichi ni Kitabu kilicho pambanuliwa Aya zake, cha kusomwa kwa Kiarabu kwa watu wanao jua. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ni Kitabu kilichobainishwa aya zake ubainifu uliotimia, na yakafafanuliwa maana yake na hukumu zake, ikiwa ni Qur’ani ya Kiarabu iliyofanywa nyepesi kuielewa kwa watu wanaoijua lugha ya Kiarabu.
Ni Kitabu kilichobainishwa aya zake ubainifu uliotimia, na yakafafanuliwa maana yake na hukumu zake, ikiwa ni Qur’ani ya Kiarabu iliyofanywa nyepesi k…