Ha-Mym-Sajdah 41:32 نزلا من غفور رحيم ٣٢
نُزُلٗا
مِّنۡ
غَفُورٖ
رَّحِيمٖ
٣٢
Ni takrima itokayo kwa Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
mkiandaliwa na kuneemeshwa kutoka kwa Mwingi wa kusamehe dhambi zenu, Mwingi wa huruma kwenu.»