Hud 11:121 وقل للذين لا يومنون اعملوا على مكانتكم انا عاملون ١٢١
وَقُل
لِّلَّذِينَ
لَا
يُؤۡمِنُونَ
ٱعۡمَلُواْ
عَلَىٰ
مَكَانَتِكُمۡ
إِنَّا
عَٰمِلُونَ
١٢١
Na waambie wale wasio amini: Fanyeni muwezavyo, nasi pia tunafanya. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Waambie, ewe Mtume, makafiri wasiokubali upweke wa Mwenyezi Mungu, «Fanyeni mnayoyafanya kwa namna yenu na mbinu zenu za kuupinga Ulinganizi na kumkera Mtume na wale waliomuitika, kwani sisi ni wenye kufanya kwa namna yetu mbinu zetu za kusimama imara juu ya Dini yetu na kutekeleza amri ya Mwenyezi …
Waambie, ewe Mtume, makafiri wasiokubali upweke wa Mwenyezi Mungu, «Fanyeni mnayoyafanya kwa namna yenu na mbinu zenu za kuupinga Ulinganizi na kumker…