Ya kwamba msimuabudu isipo kuwa Mwenyezi Mungu tu. Hakika mimi ninakukhofieni adhabu ya Siku Chungu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
«Nawaamrisha kwamba msiabudu isipokuwa Mwenyezi Mungu. Mimi nawachelea nyinyi, mkitompwekesha Mwenyezi Mungu, Peke Yake, kwa Ibada, adhabu ya Siku yenye kuumiza.»