Wakasema: Ewe Nuhu! Umejadiliana, na umekithirisha kutujadili. Basi tuletee hayo unayo tuahidi, ukiwa miongoni mwa wasemao kweli. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Wakasema, «Ewe Nūḥ„ umelumbana na sisi na umezidisha katika malumbano yako kwetu, basi tuletee hiyo adhabu unayotuahidi, iwapo wewe ni miongoni mwa wakweli katika madai yako.»