Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Hud 11:4

11:4
الى الله مرجعكم وهو على كل شيء قدير ٤
إِلَى ٱللَّهِ مَرْجِعُكُمْ ۖ وَهُوَ عَلَىٰ كُلِّ شَىْءٍۢ قَدِيرٌ ٤
إِلَى
ٱللَّهِ
مَرۡجِعُكُمۡۖ
وَهُوَ
عَلَىٰ
كُلِّ
شَيۡءٖ
قَدِيرٌ
٤
Marejeo yenu ni kwa Mwenyezi Mungu tu. Naye ni Muweza wa kila kitu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Ni kwa Mwenyezi Mungu marejeo yenu baada ya kufa kwenu nyote, basi jitahadharini na mateso Yake. Na Yeye, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake, ni Muweza wa kuwafufua nyinyi, kuwakusanya na kuwalipa.