Hud 11:74 فلما ذهب عن ابراهيم الروع وجاءته البشرى يجادلنا في قوم لوط ٧٤
فَلَمَّا
ذَهَبَ
عَنۡ
إِبۡرَٰهِيمَ
ٱلرَّوۡعُ
وَجَآءَتۡهُ
ٱلۡبُشۡرَىٰ
يُجَٰدِلُنَا
فِي
قَوۡمِ
لُوطٍ
٧٤
Basi khofu ilipo mwondoka Ibrahim, na ikawa ile bishara imemfikia, alianza kujadiliana nasi juu ya kaumu ya Lut'. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ulipomuondokea Ibrāhīm uoga uliompata kwa wale wageni kutokula chakula, na ikamjia bishara njema ya Isḥāq na Ya’qūb, aliendelea kuwajadili Wajumbe wetu juu ya kile tulichowatuma cha kuwaadhibu watu wa Lūṭ na kuwaangamiza.
Ulipomuondokea Ibrāhīm uoga uliompata kwa wale wageni kutokula chakula, na ikamjia bishara njema ya Isḥāq na Ya’qūb, aliendelea kuwajadili Wajumbe wet…