Hakika Ibrahim alikuwa mpole, ana huruma, na mwepesi wa kurejea kwa Mwenyezi Mungu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hakika Ibrāhīm ni mwingi wa uhalimu, hapendi uharakishaji wa adhabu, ni mwingi wa kunyenyekea kwa Mwenyezi Mungu na kumuomba, ni mwenye kutubia, anarejea kwa Mwenyezi Mungu katika mambo yake yote.