Akasema: Laiti ningeli kuwa na nguvu kwenu, au nategemea kwenye nguzo yenye nguvu! 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Walipokataa isipokuwa ni kufanaya machafu, aliwaambia, «Lau mimi nina nguvu kwenu na nina wasaidizi pamoja na mimi, au niutemegee ukoo utakaonihami na nyinyi, ningaliwazuia nyinyi na hayo mnayoyataka.»