Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Ibrahim 14:15

14:15
واستفتحوا وخاب كل جبار عنيد ١٥
وَٱسْتَفْتَحُوا۟ وَخَابَ كُلُّ جَبَّارٍ عَنِيدٍۢ ١٥
وَٱسۡتَفۡتَحُواْ
وَخَابَ
كُلُّ
جَبَّارٍ
عَنِيدٖ
١٥
Na wakaomba ushindi, na akashindwa kila jabari mkaidi. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Mitume wakaelekea kwa Mola wao wakamuomba Awape ushindi juu ya maadui wao na Ahukumu baina yao, na Yeye Akawakubalia na Akamwangamiza kila mwenye kujiona asiyekubali haki, Asiyeiandama na Asiyetaka kumpwekesha Mwenyezi Mungu na kumtakasia ibada.