Na akalifanya jua na mwezi kwa manufaa yenu daima dawamu, na akaufanya usiku na mchana kwa manufaa yenu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na Akawadhalilishia nyinyi jua na mwezi, haviachi kutembea kwake, ili maslahi yenu yatimie kwa viwili hivyo. Na Akwadhalilishia nyinyi usiku, ili mtulie humo na mpumzike, na mchana ili mtafute fadhila Zake na mpange maisha yenu.