Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Ibrahim 14:40

14:40
رب اجعلني مقيم الصلاة ومن ذريتي ربنا وتقبل دعاء ٤٠
رَبِّ ٱجْعَلْنِى مُقِيمَ ٱلصَّلَوٰةِ وَمِن ذُرِّيَّتِى ۚ رَبَّنَا وَتَقَبَّلْ دُعَآءِ ٤٠
رَبِّ
ٱجۡعَلۡنِي
مُقِيمَ
ٱلصَّلَوٰةِ
وَمِن
ذُرِّيَّتِيۚ
رَبَّنَا
وَتَقَبَّلۡ
دُعَآءِ
٤٠
Mola wangu Mlezi! Nijaalie niwe mwenye kushika Swala, na katika dhuriya zangu pia. Ewe Mola wetu Mlezi, na ipokee dua yangu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
«Ewe Mola wangi! Nijaalie ni mwenye kuendelea kutekeleza Swala kwa njia ya ukamilifu zaidi na ujaalie katika kizazi changu wenye kuendelea nayo. Ewe Mola wetu! Na uyakubali maombi yangu na uikubali ibada yangu.