Na mkakaa katika maskani zile zile za walio zidhulumu nafsi zao. Na ikakudhihirikieni jinsi tulivyo watendea. Nasi tukakupigieni mifano mingi. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
«Na mkakaa kwenye makao ya makafiri waliopita waliojidhulumu nafsi zao, kama vile watu wa Hūd na Ṣāliḥ, na mkajua, kwa mlivyoona na mlivyombiwa, maangamivu tuliyowateremshia na tukawapigia mifano katika Qur’ani msizingatie?»