Ibrahim 14:49 وترى المجرمين يوميذ مقرنين في الاصفاد ٤٩
وَتَرَى
ٱلۡمُجۡرِمِينَ
يَوۡمَئِذٖ
مُّقَرَّنِينَ
فِي
ٱلۡأَصۡفَادِ
٤٩
Na utaona wakhalifu siku hiyo wamefungwa katika minyororo; 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na utawaona,ewe Nabii, waasi Siku ya Kiyama wamefungwa pingu, mikono yao miguu yao yamekutanishwa pamoja kwa minyonyoro, na hali wakiwa watwevu.