Maryam 19:29 فاشارت اليه قالوا كيف نكلم من كان في المهد صبيا ٢٩
فَأَشَارَتۡ
إِلَيۡهِۖ
قَالُواْ
كَيۡفَ
نُكَلِّمُ
مَن
كَانَ
فِي
ٱلۡمَهۡدِ
صَبِيّٗا
٢٩
Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Maryama akashiria kwa mwanawe Īsā ili wamuulize na waseme naye. Wakasema kwa kumpinga, «Vipi tutasema na ambaye bado yuko mlezini aliye mchanga wa kunyonya?»
Maryama akashiria kwa mwanawe Īsā ili wamuulize na waseme naye. Wakasema kwa kumpinga, «Vipi tutasema na ambaye bado yuko mlezini aliye mchanga wa kun…