Maryam 19:51 واذكر في الكتاب موسى انه كان مخلصا وكان رسولا نبيا ٥١
وَٱذۡكُرۡ
فِي
ٱلۡكِتَٰبِ
مُوسَىٰٓۚ
إِنَّهُۥ
كَانَ
مُخۡلَصٗا
وَكَانَ
رَسُولٗا
نَّبِيّٗا
٥١
Na mtaje Musa katika Kitabu. Hakika yeye alikuwa ni mwenye kuchaguliwa, na alikuwa Mtume, Nabii.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na utaje katika Qur’ani, ewe Mtume, kisa cha Mūsā, amani imshukiye. Kwa hakika, yeye alikuwa ni mteule aliyesafishwa, na alikuwa ni Mtume na ni Nabii miongoni mwa Mitume waliokuwa na uthabiti.
Na utaje katika Qur’ani, ewe Mtume, kisa cha Mūsā, amani imshukiye. Kwa hakika, yeye alikuwa ni mteule aliyesafishwa, na alikuwa ni Mtume na ni Nabii …