Muhammad 47:11 ذالك بان الله مولى الذين امنوا وان الكافرين لا مولى لهم ١١
ذَٰلِكَ
بِأَنَّ
ٱللَّهَ
مَوۡلَى
ٱلَّذِينَ
ءَامَنُواْ
وَأَنَّ
ٱلۡكَٰفِرِينَ
لَا
مَوۡلَىٰ
لَهُمۡ
١١
Hayo ni kwa sababu Mwenyezi Mungu ni Mlinzi wa walio amini. Na makafiri hawana mlinzi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hilo tulilowafanyia watu wa mapote mawili: pote la Imani na pote la ukafiri, ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu Ndiye Msimamizi wa Waumini na mwenye kuwanusuru, na kuwa makafiri hawana mwenye kuwasimamia wala kuwanusuru.
Hilo tulilowafanyia watu wa mapote mawili: pote la Imani na pote la ukafiri, ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu Ndiye Msimamizi wa Waumini na mwenye kuwanusur…