Muhammad 47:17 والذين اهتدوا زادهم هدى واتاهم تقواهم ١٧
وَٱلَّذِينَ
ٱهۡتَدَوۡاْ
زَادَهُمۡ
هُدٗى
وَءَاتَىٰهُمۡ
تَقۡوَىٰهُمۡ
١٧
Na wale walio ongoka anawazidishia uongofu na anawapa uchamngu wao. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wale walioongoka kuifuata haki, Mwenyezi Mungu Aliwaongezea uongofu , na kwa hivyo uongofu wao ukapata nguvu na Akawaafikia kwenye uchamungu na akaufanya sahali kwao.
Na wale walioongoka kuifuata haki, Mwenyezi Mungu Aliwaongezea uongofu , na kwa hivyo uongofu wao ukapata nguvu na Akawaafikia kwenye uchamungu na aka…