Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Muhammad 47:29

47:29
ام حسب الذين في قلوبهم مرض ان لن يخرج الله اضغانهم ٢٩
أَمْ حَسِبَ ٱلَّذِينَ فِى قُلُوبِهِم مَّرَضٌ أَن لَّن يُخْرِجَ ٱللَّهُ أَضْغَـٰنَهُمْ ٢٩
أَمۡ
حَسِبَ
ٱلَّذِينَ
فِي
قُلُوبِهِم
مَّرَضٌ
أَن
لَّن
يُخۡرِجَ
ٱللَّهُ
أَضۡغَٰنَهُمۡ
٢٩
Je! Wenye maradhi nyoyoni mwao wanadhani kwamba Mwenyezi Mungu hatazidhihirisha chuki zao? 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Au kwani wanadhani hao wanafiki kuwa Mwenyezi Mungu Hatovitoa vile vilivyomo ndani ya nyoyo zao vya uhasidi na kuuchukia Uislamu na wafuasi wake? Ndio, Mwenyezi Mungu Atamtenganisha mkweli kutokana na mrongo.