Muhammad 47:6 ويدخلهم الجنة عرفها لهم ٦
وَيُدۡخِلُهُمُ
ٱلۡجَنَّةَ
عَرَّفَهَا
لَهُمۡ
٦
Na atawaingiza katika Pepo aliyo wajuulisha. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na Awatie Peponi ambayo Aliwajulisha na Akawasifia, na Akawaafikia kusimama kuyafanya yale Ailyowaamrisha, na miongoni mwayo ni kufa shahidi katika njia Yake, kisha atawajulisha wao mashukio yao huko Peponi watakapoingia humo.
na Awatie Peponi ambayo Aliwajulisha na Akawasifia, na Akawaafikia kusimama kuyafanya yale Ailyowaamrisha, na miongoni mwayo ni kufa shahidi katika nj…