Nuh 71:26 وقال نوح رب لا تذر على الارض من الكافرين ديارا ٢٦
وَقَالَ
نُوحٞ
رَّبِّ
لَا
تَذَرۡ
عَلَى
ٱلۡأَرۡضِ
مِنَ
ٱلۡكَٰفِرِينَ
دَيَّارًا
٢٦
Na Nuh'u akasema: Mola wangu Mlezi! Usimwache juu ya ardhi mkaazi wake yeyote katika makafiri! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na akasema Nūḥ, amani imshukie, baada ya kukata tama na watu wake, «Mola wangu! Usimuache yoyote miongoni mwa wale wanaokukanusha kuwa ni mwenye kuishi juu ardhi akizunguka na kutembea.
Na akasema Nūḥ, amani imshukie, baada ya kukata tama na watu wake, «Mola wangu! Usimuache yoyote miongoni mwa wale wanaokukanusha kuwa ni mwenye kuish…