Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Nuh 71:27

71:27
انك ان تذرهم يضلوا عبادك ولا يلدوا الا فاجرا كفارا ٢٧
إِنَّكَ إِن تَذَرْهُمْ يُضِلُّوا۟ عِبَادَكَ وَلَا يَلِدُوٓا۟ إِلَّا فَاجِرًۭا كَفَّارًۭا ٢٧
إِنَّكَ
إِن
تَذَرۡهُمۡ
يُضِلُّواْ
عِبَادَكَ
وَلَا
يَلِدُوٓاْ
إِلَّا
فَاجِرٗا
كَفَّارٗا
٢٧
Hakika ukiwaacha watawapoteza waja wako, wala wao hawatazaa ila waovu makafiri. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hao ukiwaacha, bila kuwaangamiza, watawapoteza waja wako waliokuamini na kuwapotosha njia ya haki, na haji yoyote kutokana na migongo yao na vizazi vyao isipokuwa yule aliyepotoka na njia ya haki na kukukanusha wewe sana na kukuasi.