Qaf 50:17 اذ يتلقى المتلقيان عن اليمين وعن الشمال قعيد ١٧
إِذۡ
يَتَلَقَّى
ٱلۡمُتَلَقِّيَانِ
عَنِ
ٱلۡيَمِينِ
وَعَنِ
ٱلشِّمَالِ
قَعِيدٞ
١٧
Wanapo pokea wapokeaji wawili, wanao kaa kuliani na kushotoni. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Pindi Malaika wawili wanaotunza, kuliani kwake na kushotoni kwake, wanapoyaandika matendo Yake: aliye kuliani anaandika mema na aliye kushotoni anaandika maovu.
Pindi Malaika wawili wanaotunza, kuliani kwake na kushotoni kwake, wanapoyaandika matendo Yake: aliye kuliani anaandika mema na aliye kushotoni anaand…