Qaf 50:20 ونفخ في الصور ذالك يوم الوعيد ٢٠
وَنُفِخَ
فِي
ٱلصُّورِۚ
ذَٰلِكَ
يَوۡمُ
ٱلۡوَعِيدِ
٢٠
Na litapulizwa baragumu. Hiyo ndiyo Siku ya Miadi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo baragumu likavuviwa mvuvio wa pili wa Ufufuzi. Mvuvio huo utakuwa kwenye Siku ya matekelezo ya adhabu ambayo Mwenyezi Mungu Aliwaahidi wakanushaji.
Hapo baragumu likavuviwa mvuvio wa pili wa Ufufuzi. Mvuvio huo utakuwa kwenye Siku ya matekelezo ya adhabu ambayo Mwenyezi Mungu Aliwaahidi wakanushaj…