Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Qaf 50:22

50:22
لقد كنت في غفلة من هاذا فكشفنا عنك غطاءك فبصرك اليوم حديد ٢٢
لَّقَدْ كُنتَ فِى غَفْلَةٍۢ مِّنْ هَـٰذَا فَكَشَفْنَا عَنكَ غِطَآءَكَ فَبَصَرُكَ ٱلْيَوْمَ حَدِيدٌۭ ٢٢
لَّقَدۡ
كُنتَ
فِي
غَفۡلَةٖ
مِّنۡ
هَٰذَا
فَكَشَفۡنَا
عَنكَ
غِطَآءَكَ
فَبَصَرُكَ
ٱلۡيَوۡمَ
حَدِيدٞ
٢٢
(Aambiwe): Kwa hakika ulikuwa umeghafilika na haya; basi leo tumekuondolea pazia lako, na kwa hivyo kuona kwako leo ni kukali. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Kwa hakika wewe ulikuwa katika mghafala kuhusu tukio hili unaloliona leo, ewe binadamu, ndipo tukakifunua kifiniko chako kilichoziba moyo wako, kughafilika kukakuondokea, basi leo macho yako, katika kile unachokitolea ushahidi, ni makali.