Qaf 50:3 ااذا متنا وكنا ترابا ذالك رجع بعيد ٣
أَءِذَا
مِتۡنَا
وَكُنَّا
تُرَابٗاۖ
ذَٰلِكَ
رَجۡعُۢ
بَعِيدٞ
٣
Ati tukifa na tukawa udongo? Kurejea huko kuko mbali! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Je, tunapokufa na tukawa mchanga, itawezekana vipi kurejea baada ya hapo tukawa kama tulivyokuwa? Hayo ni marajeo ambayo kutukia kwake kuko mbali.»