Qaf 50:35 لهم ما يشاءون فيها ولدينا مزيد ٣٥
لَهُم
مَّا
يَشَآءُونَ
فِيهَا
وَلَدَيۡنَا
مَزِيدٞ
٣٥
Humo watapata wakitakacho, na kwetu yako ya ziada. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Watapewa hawa Waumini ndani ya Pepo wanavyovitaka. Na tuna nyogeza za neema juu ya zile tulizowapa; kubwa zaidi la neema hizo ni kutazama uso wa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka.
Watapewa hawa Waumini ndani ya Pepo wanavyovitaka. Na tuna nyogeza za neema juu ya zile tulizowapa; kubwa zaidi la neema hizo ni kutazama uso wa Mweny…