Sad 38:18 انا سخرنا الجبال معه يسبحن بالعشي والاشراق ١٨
إِنَّا
سَخَّرۡنَا
ٱلۡجِبَالَ
مَعَهُۥ
يُسَبِّحۡنَ
بِٱلۡعَشِيِّ
وَٱلۡإِشۡرَاقِ
١٨
Hakika tuliidhalilisha milima pamoja naye ikisabihi jioni na asubuhi pamoja naye. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika sisi tuliyadhalilisha majabali pamoja na Dāwūd, yakawa yanamtakasa Mwenyezi Mungu kwa kumsabihi wakati anapomtakasa kwa kumsabihi mwanzo wa mchana na mwisho wake.
Hakika sisi tuliyadhalilisha majabali pamoja na Dāwūd, yakawa yanamtakasa Mwenyezi Mungu kwa kumsabihi wakati anapomtakasa kwa kumsabihi mwanzo wa mch…