Sad 38:19 والطير محشورة كل له اواب ١٩
وَٱلطَّيۡرَ
مَحۡشُورَةٗۖ
كُلّٞ
لَّهُۥٓ
أَوَّابٞ
١٩
Na pia ndege walio kusanywa makundi kwa makundi; wote walikuwa wanyenyekevu kwake. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tukawadhalilisha ndege pamoja naye, kwa mkusanyiko wao, wakawa wanatakasa kwa kusabihi na kuwa watiifu kwake