Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Sad 38:49

38:49
هاذا ذكر وان للمتقين لحسن ماب ٤٩
هَـٰذَا ذِكْرٌۭ ۚ وَإِنَّ لِلْمُتَّقِينَ لَحُسْنَ مَـَٔابٍۢ ٤٩
هَٰذَا
ذِكۡرٞۚ
وَإِنَّ
لِلۡمُتَّقِينَ
لَحُسۡنَ
مَـَٔابٖ
٤٩
Huu ni ukumbusho. Na hakika wachamngu wana marudio mazuri. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hii Qur’ani ni utajo na utukufu kwako, ewe Mtume, na kwa watu wako. Na wale watu wa uchaji Mwenyezi Mungu na utiifu Kwake watakuwa na mwisho mwema kwetu sisi