Sad 38:57 هاذا فليذوقوه حميم وغساق ٥٧
هَٰذَا
فَلۡيَذُوقُوهُ
حَمِيمٞ
وَغَسَّاقٞ
٥٧
Ndio hivi! Basi na wayaonje maji ya moto na ya usaha! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Adhabu hii ni maji yaliyo moto sana, na usaha unaotiririka kutoka kwenye miili ya watu wa Motoni, basi na wanywe.