Sad 38:64 ان ذالك لحق تخاصم اهل النار ٦٤
إِنَّ
ذَٰلِكَ
لَحَقّٞ
تَخَاصُمُ
أَهۡلِ
ٱلنَّارِ
٦٤
Hakika hayo bila ya shaka ndiyo makhasimiano ya watu wa Motoni. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwa hakika, hili la kujadiliana watu wa Motoni na kuteta kwao ni jambo litakalotokea bila shaka.