Sad 38:69 ما كان لي من علم بالملا الاعلى اذ يختصمون ٦٩
مَا
كَانَ
لِيَ
مِنۡ
عِلۡمِۭ
بِٱلۡمَلَإِ
ٱلۡأَعۡلَىٰٓ
إِذۡ
يَخۡتَصِمُونَ
٦٩
Sikuwa na ilimu ya mambo ya viumbe wakuu watukufu walipo kuwa wakishindana. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Mimi sikuwa na ujuzi wa utesi wa Malaika wa mbinguni kuhusu kuumbwa kwa Ādam, lau si Mwenyezi Mungu kunijulisha na kuniletea wahyi kwa hilo.