Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Sad 38:83

38:83
الا عبادك منهم المخلصين ٨٣
إِلَّا عِبَادَكَ مِنْهُمُ ٱلْمُخْلَصِينَ ٨٣
إِلَّا
عِبَادَكَ
مِنۡهُمُ
ٱلۡمُخۡلَصِينَ
٨٣
Isipo kuwa wale waja wako miongoni mwao walio khitariwa. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
isipokuwa wale uliowatakasa miongoni mwa waja wako na ukawalinda nisiwapoteze, na usinipatie njia yoyote ya kuwaathiri.»