Yasyn 36:15 قالوا ما انتم الا بشر مثلنا وما انزل الرحمان من شيء ان انتم الا تكذبون ١٥
قَالُواْ
مَآ
أَنتُمۡ
إِلَّا
بَشَرٞ
مِّثۡلُنَا
وَمَآ
أَنزَلَ
ٱلرَّحۡمَٰنُ
مِن
شَيۡءٍ
إِنۡ
أَنتُمۡ
إِلَّا
تَكۡذِبُونَ
١٥
Wakasema: Nyinyi si chochote ila ni watu kama sisi. Na Mwingi wa Rehema hakuteremsha kitu. Nyinyi mnasema uwongo tu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Watu wa kijiji wakasema kuwaambia wajumbe, «Hamkuwa nyinyi isipokuwa ni watu mfano wetu sisi, na Mwenyezi Mungu Hakuteremsha wahyi wowote. Na hamkuwa nyinyi isipokuwa mnasema urongo.»
Watu wa kijiji wakasema kuwaambia wajumbe, «Hamkuwa nyinyi isipokuwa ni watu mfano wetu sisi, na Mwenyezi Mungu Hakuteremsha wahyi wowote. Na hamkuwa …