Yasyn 36:26 قيل ادخل الجنة قال يا ليت قومي يعلمون ٢٦
قِيلَ
ٱدۡخُلِ
ٱلۡجَنَّةَۖ
قَالَ
يَٰلَيۡتَ
قَوۡمِي
يَعۡلَمُونَ
٢٦
Akaambiwa: Ingia Peponi! Akasema: Laiti kuwa watu wangu wangeli jua 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Aliambiwa baada ya kufa kwake, «Ingia Peponi,» kwa njia ya kutukuzwa.