Yasyn 36:32 وان كل لما جميع لدينا محضرون ٣٢
وَإِن
كُلّٞ
لَّمَّا
جَمِيعٞ
لَّدَيۡنَا
مُحۡضَرُونَ
٣٢
Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hawakuwa watu wa kame hizi tulizoziangamiza na wengineo, isipokuwa wote watahudhurishwa mbele yetu Siku ya Kiyama wahesabiwe na walipwe.