Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Yasyn 36:34

36:34
وجعلنا فيها جنات من نخيل واعناب وفجرنا فيها من العيون ٣٤
وَجَعَلْنَا فِيهَا جَنَّـٰتٍۢ مِّن نَّخِيلٍۢ وَأَعْنَـٰبٍۢ وَفَجَّرْنَا فِيهَا مِنَ ٱلْعُيُونِ ٣٤
وَجَعَلۡنَا
فِيهَا
جَنَّٰتٖ
مِّن
نَّخِيلٖ
وَأَعۡنَٰبٖ
وَفَجَّرۡنَا
فِيهَا
مِنَ
ٱلۡعُيُونِ
٣٤
Na tukafanya ndani yake mabustani ya mitende na mizabibu, na tukatimbua chemchem ndani yake, 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na tumejaalia katika ardhi hii mabustani ya mitende na mizabibu, na tukapasua humo mikondo ya maji yenye kuinywesheza.