Yasyn 36:42 وخلقنا لهم من مثله ما يركبون ٤٢
وَخَلَقۡنَا
لَهُم
مِّن
مِّثۡلِهِۦ
مَا
يَرۡكَبُونَ
٤٢
Na tukawaumbia kutoka mfano wake wanavyo vipanda. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tukawaumbia hawa washirikina na wasiokuwa wao kama vile jahazi la Nūḥ, miongoni mwa majahazi na vipando vingine wanavyovipanda vikawapeleka kwenye nchi zao.
Na tukawaumbia hawa washirikina na wasiokuwa wao kama vile jahazi la Nūḥ, miongoni mwa majahazi na vipando vingine wanavyovipanda vikawapeleka kwenye …