Yasyn 36:51 ونفخ في الصور فاذا هم من الاجداث الى ربهم ينسلون ٥١
وَنُفِخَ
فِي
ٱلصُّورِ
فَإِذَا
هُم
مِّنَ
ٱلۡأَجۡدَاثِ
إِلَىٰ
رَبِّهِمۡ
يَنسِلُونَ
٥١
Na litapulizwa barugumu, mara watatoka makaburini wakikimbilia kwa Mola wao Mlezi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kutavuviwa kwenye barugumu mvuvio wa pili, hapo roho zao zirudishwe kwenye miili yao, wakitahamaki wanatoka makaburini mwao wakielekea kwa Mola wao kwa haraka.
Na kutavuviwa kwenye barugumu mvuvio wa pili, hapo roho zao zirudishwe kwenye miili yao, wakitahamaki wanatoka makaburini mwao wakielekea kwa Mola wao…